18 Agosti 2014 - 14:33
Wanajeshi wa Kikurd wadhibiti bwawa la Musul

wanajeshi wa kikurd wametwaa na kudhibiti bwawa muhimu la Musul kutoka katika mikono ya wapambanaji wa Daesh.

wanajeshi wa kikurd wametwaa na kudhibiti bwawa muhimu la Musul kutoka katika mikono ya wapambanaji wa Daesh.
wanajeshi wa kikurd wamedhibiti bwawa hilo baada ya kujili mapambano makali kati yao na wapiganaji wa kiislamu wa Daesh ambao wanania na azma ya kutengeneza dola kiislamu kwa kuikata nchi ya Iraq na Syria.